Tuesday 28 November 2017

MSWAHILILEO.BLOGSPOT.COM: WHATSAPP KUJA NA NJIA MPYA YA KUTUMA SMS ZA SAUTI

MSWAHILILEO.BLOGSPOT.COM: WHATSAPP KUJA NA NJIA MPYA YA KUTUMA SMS ZA SAUTI: Whatsapp imeboresha application yake mara kwa mara  lakini sehemu ya kutuma ujumbe wa sauti haikuwahi kubadilishwa tangu kuanza kwake 2013...

HISTORIA YA BARAKA DA PRINCE

 Staa wa Bongo Flava, Baraka Da Prince 
Mwanamuziki raia wa Tanzania ambaye jina lake ni Baraka Andrew Odiero asili ya wazazi wake wanatokea maeneo ya Kisumu kenya
“Babu yake mzee Odiero Kalego Oimu alimwoa Mtanzania ambaye ni bibi yake baraka da prince. Bibi baadaye alirejea kijijini kwao Tanzania alikomzaa baba yake baraka da prince Andrew Obiero. Baadaye bibi alirejea Kisumu, Kenya huku akimwacha baba yake baraka de prince Andrew Obiero. Tanzania alikokulia na ndipo aliko zaliwa baraka da prince tarehe 13/2/1994 mkoani  Mwanza, Tanzania,

Thursday 16 November 2017

WHATSAPP KUJA NA NJIA MPYA YA KUTUMA SMS ZA SAUTI

Whatsapp imeboresha application yake mara kwa mara  lakini sehemu ya kutuma ujumbe wa sauti haikuwahi kubadilishwa tangu kuanza kwake 2013.
waendeshaji wa app hiyo wametuletea njia rahisi ya kutuma ujumbe wa sauti

Tuesday 14 November 2017

KAMPUNI YA LG YAZINDUA SIMU INAYOFUKUZA MBU

Wakati maisha yanavyo zidi kuendelea na utandawazi unazidi kukua kwa kasi
kampuni ya vifaa vya umeme imekuja na simu ambayo iko tofauti na simu tulizozizoea kutoka kila mwaka  LG wametoa simu inayoweza kufukuza na kuuwa mbu

Monday 13 November 2017

JE UNAIJUA FAIDA YA KULA TUNDA LA PARACHICHI MWILINI

Parachichi ni tunda rahisi sana kupatikana hasa sehemu za baridi. Watu wanaoishi maeneo haya wana ushahidi juu ya hili.Huuzwa nchi nzima kwa bei ndogo na ya kawaida kabisa huku likiwa na faida kubwa sana kiafya.Baadhi ya virutubisho muhimu vinavyopatikana kwenye tunda hili ni;

Friday 10 November 2017

IJUE HISTORIA YA MWANAMUZIKI YEMI ALADE

Yemi Eberechi Alade amezaliwa tarehe 13 mwenzi  3 mwaka 1989 ni mtoto wa tano katika familia ya watoto saba, elimu yake amepata katika shule ya St. Saviour British primary, kisha akasoma sekondari ya Victory Grammar school huko lagos na baadaye alichukua shahada yake ya geografia katika chuo kikuu lagos.

HILI NDIYO DARAJA LINALO TISHA MADEREVA DUNIANI

Eshima Ohashi Bridge,  kama linavyofahamika ni daraja lililopo nchini Japan katika eneo la Chukogu huko Honshu. Kwa sasa linashikilia rekodi ya daraja lenye mwinuko mkali zaidi linalotumiwa na magari huko nchini Japan.

Thursday 9 November 2017

JE UNAJUA FAIDA YA MACHUNGWA MWILINI

Habari yako ndugu msomaji .Swala la Afya bora  ni jambo muhimu sana katika Maisha ya kila mmoja wetu na taifa kwa ujumla. Bila afya hakuna furaha,amani wa shughuli yoyote ile ya maendeleo.Afya ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku.
Upuuziaji wa matumizi ya matunda na mboga mboga unachangia kwa kiasi kikubwa matatizo mengi ya kiafya. Matunda ni moja ya zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu binadamu tuliopewa japo tunaidharau licha ya faida yake katika maisha yetu. leo nimekuletea tunda hili nikujuze faida zake

JE UNAJUA HISTORIA YA MWANADADA SHILOLE

Amezaliwa Igunga Tabora Mwaka 1987 tarehe 6 mwenzi 12. Jina lake la passport ni Zuena Mohamed . Baba yake alimkimbia mama yake akiwa akitambaa na alikuja kuambiwa na ndugu zake baba yake alipata matatizo ya akili ila hajawahi kuonana naye.
Alisoma shule ya msingi Igunga na alifaulu kwenda Igunga sekondari ila aliishia kidato cha pili baada ya kubakwa na kubeba mimba akiwa na miaka 14. Huyo mtu aliyefanya kitendo hicho alikutana naye akiwa anaenda kuchota maji kisimani na kufanya hicho  Mtoto alizaliwa anaitwa Joyce kwa sasa anamiaka 11.

Wednesday 8 November 2017

JINSI YA KUHACK WIFi PASSWARD

Habari yako ndugu msomaji wa chapisho hili, najua wazi  kuna wakati unakutana na Wi-Fi nawe unatamani kutumia japo kwa kutembelea www.Mswahilileo.blogspot.com pekee lakini unashindwa kutokana na kuwa na nywila basi leo nimekuletea suluhisho la jambo lako hilo, njia hii ni rahisi zaidi kuwahi kutokea haihitaji Uroot simu yako wala kuwa na app yeyote ili kufanikisha jambo hili fuatana nami hapa chini.

FAIDA 10 ZA TUNDA LA KOMAMANGA

komamanga ni tunda lenye asili ya india
1.Lina uwezo mkubwa wa kuzuia ugonjwa wa kansa
2. Linasaidia kukinga magonjwa ya moyo