Thursday 7 December 2017

AYUSHMAN=EPISOD 11=

Tuesday 28 November 2017

MSWAHILILEO.BLOGSPOT.COM: WHATSAPP KUJA NA NJIA MPYA YA KUTUMA SMS ZA SAUTI

MSWAHILILEO.BLOGSPOT.COM: WHATSAPP KUJA NA NJIA MPYA YA KUTUMA SMS ZA SAUTI: Whatsapp imeboresha application yake mara kwa mara  lakini sehemu ya kutuma ujumbe wa sauti haikuwahi kubadilishwa tangu kuanza kwake 2013...

HISTORIA YA BARAKA DA PRINCE

 Staa wa Bongo Flava, Baraka Da Prince 
Mwanamuziki raia wa Tanzania ambaye jina lake ni Baraka Andrew Odiero asili ya wazazi wake wanatokea maeneo ya Kisumu kenya
“Babu yake mzee Odiero Kalego Oimu alimwoa Mtanzania ambaye ni bibi yake baraka da prince. Bibi baadaye alirejea kijijini kwao Tanzania alikomzaa baba yake baraka da prince Andrew Obiero. Baadaye bibi alirejea Kisumu, Kenya huku akimwacha baba yake baraka de prince Andrew Obiero. Tanzania alikokulia na ndipo aliko zaliwa baraka da prince tarehe 13/2/1994 mkoani  Mwanza, Tanzania,

Thursday 16 November 2017

WHATSAPP KUJA NA NJIA MPYA YA KUTUMA SMS ZA SAUTI

Whatsapp imeboresha application yake mara kwa mara  lakini sehemu ya kutuma ujumbe wa sauti haikuwahi kubadilishwa tangu kuanza kwake 2013.
waendeshaji wa app hiyo wametuletea njia rahisi ya kutuma ujumbe wa sauti

Tuesday 14 November 2017

KAMPUNI YA LG YAZINDUA SIMU INAYOFUKUZA MBU

Wakati maisha yanavyo zidi kuendelea na utandawazi unazidi kukua kwa kasi
kampuni ya vifaa vya umeme imekuja na simu ambayo iko tofauti na simu tulizozizoea kutoka kila mwaka  LG wametoa simu inayoweza kufukuza na kuuwa mbu

Monday 13 November 2017

JE UNAIJUA FAIDA YA KULA TUNDA LA PARACHICHI MWILINI

Parachichi ni tunda rahisi sana kupatikana hasa sehemu za baridi. Watu wanaoishi maeneo haya wana ushahidi juu ya hili.Huuzwa nchi nzima kwa bei ndogo na ya kawaida kabisa huku likiwa na faida kubwa sana kiafya.Baadhi ya virutubisho muhimu vinavyopatikana kwenye tunda hili ni;

Friday 10 November 2017

IJUE HISTORIA YA MWANAMUZIKI YEMI ALADE

Yemi Eberechi Alade amezaliwa tarehe 13 mwenzi  3 mwaka 1989 ni mtoto wa tano katika familia ya watoto saba, elimu yake amepata katika shule ya St. Saviour British primary, kisha akasoma sekondari ya Victory Grammar school huko lagos na baadaye alichukua shahada yake ya geografia katika chuo kikuu lagos.