Monday 13 November 2017

JE UNAIJUA FAIDA YA KULA TUNDA LA PARACHICHI MWILINI

Parachichi ni tunda rahisi sana kupatikana hasa sehemu za baridi. Watu wanaoishi maeneo haya wana ushahidi juu ya hili.Huuzwa nchi nzima kwa bei ndogo na ya kawaida kabisa huku likiwa na faida kubwa sana kiafya.Baadhi ya virutubisho muhimu vinavyopatikana kwenye tunda hili ni;

  • Vitamini K  __________ 26%
  • Folate          __________ 20%
  • Vitamini C __________  17%
  • Potassium  __________  14%
  • Vitamin E   __________  14%
  • Vitamin B5 __________  14%
  • Vitamin B6 __________  13%
Kwa orodha ya virutubisho hivyo  hapo juu Parachichi  litasaidia sana mwili wako kurekebisha msukumo wa damu, Tunda hili lina 77% ya protini kitu kinachofanya tunda hili liwe mmea wenye protini kuliko mwingine wowote ule.Husaidia macho kuona vizuri zaidi, zaidi husaidia nywere na ngozi yako, Na faida nyingine nyingi sana.Hauna budi kutumia parachichi mara kwa mara. Nijukumu letu kila siku kukujuza vitu mbalimbali adimu usikose kila siku kutembelea blog hii kupata taarifa nyingi zaid nakutakia siku njema

0 comments:

Post a Comment