Wednesday 8 November 2017

JINSI YA KUHACK WIFi PASSWARD

Habari yako ndugu msomaji wa chapisho hili, najua wazi  kuna wakati unakutana na Wi-Fi nawe unatamani kutumia japo kwa kutembelea www.Mswahilileo.blogspot.com pekee lakini unashindwa kutokana na kuwa na nywila basi leo nimekuletea suluhisho la jambo lako hilo, njia hii ni rahisi zaidi kuwahi kutokea haihitaji Uroot simu yako wala kuwa na app yeyote ili kufanikisha jambo hili fuatana nami hapa chini.


Washa Wi-Fi ya kifaa chako kisha tafuta (search) Wi-Fi iliyo karibu nawe ukikutana na password fanya hivi



  • Sehemu iliyotakiwa ujaze password jaza hivi [free wifi]
itafunguka na kukuletea setting (mipangilio) mingi katika setting hizo watakazokupa jaza kama hivi
  1. Proxy [manual]
  2. proxy host name [wifi.google.com]
  3. Proxy port [9090]
  4. bypass proxy for [wifi.google.com]
  5. Ip setting [Static]
  6. Ip addresss [183.182.186.1]
  7. Network Prefix legnth [31] (futa utakayoikuta)
  8. Dns 1 [9.9.8.0]
  9. Dns 2 [9.9.8.0]
Kidokezo
Endapo unataka kuhacker Wi-Fi ya kwenye simu janja (smartphone) ikatokea kipengele namba sita kikafeli weka Ip address ya simu hiyo unayotaka kui-hacker 

jinsi ya kuipata ip address ya simu
  • Setting
  • About phone
  • Status
  • Ip address
Bila shaka yeyote ukifuata hatua hizo kwa makini utafanikisha jambo hilo bila tatizo lolote usikose kutembelea blog yetu kila siku hili kupata vitu mbalimbali

2 comments: