Tuesday 14 November 2017

KAMPUNI YA LG YAZINDUA SIMU INAYOFUKUZA MBU

Wakati maisha yanavyo zidi kuendelea na utandawazi unazidi kukua kwa kasi
kampuni ya vifaa vya umeme imekuja na simu ambayo iko tofauti na simu tulizozizoea kutoka kila mwaka  LG wametoa simu inayoweza kufukuza na kuuwa mbu
Simu hiyo ambayo imezinduliwa nchini India inakuja na teknolojia mpya ya mosquito repelling utrasonic wave ambayo inafanya simu hiyo kua chanzo cha kufukuza na kuuwa mbu watakao kua karibu na chumba au eneo la mtumiaji simu hiyo. limetengenezwa toleo hili  kwa ajili ya watu wa india .pia simu hiyo inasifa za kawaida ina kioo inch 5. RAM 2GB. pamoja na ukubwa wa ndani 16 GB. ipo katika mfumo wa Android marshmallow LG imesema imetoa simu yenye mfumo huo hili kusahidia wananchi wa india kuweza kudhibiti magonjwa yanayotokana na mbu.

LG k7i itauzwa kwa pesa ya india Rs 7,990 sawa na Tsh 2,80000 kwa pesa ya kitanzania.
simu hiyo imetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu ipo na kifaa cha kufukuza na kuuwa mbu kipo kwa nyuma ya simu kama inavyoonekana hapo pichani lakini pia hatujapata taarifa rasmi kama inaweza kupatikana na nchi nyengine nakuomba uzidi kufatilia blog yako Mswahilileo hili kupata kujua mengi zaidi kila siku

0 comments:

Post a Comment