Thursday 16 November 2017

WHATSAPP KUJA NA NJIA MPYA YA KUTUMA SMS ZA SAUTI

Whatsapp imeboresha application yake mara kwa mara  lakini sehemu ya kutuma ujumbe wa sauti haikuwahi kubadilishwa tangu kuanza kwake 2013.
waendeshaji wa app hiyo wametuletea njia rahisi ya kutuma ujumbe wa sauti
kimeongezwa kitufe kipya ambacho unaweza kurekodi sauti bila ya kushikilia ile alama ya maiki
hiyo inaweza kukufanya uendelee kusoma chat nyengine uku ikiendelea kurekodi hakuna haja tena ya kushikilia kitufe kama ilivyokua mwanzo angalia hapa chini

0 comments:

Post a Comment