Tuesday 28 November 2017

HISTORIA YA BARAKA DA PRINCE

 Staa wa Bongo Flava, Baraka Da Prince 
Mwanamuziki raia wa Tanzania ambaye jina lake ni Baraka Andrew Odiero asili ya wazazi wake wanatokea maeneo ya Kisumu kenya
“Babu yake mzee Odiero Kalego Oimu alimwoa Mtanzania ambaye ni bibi yake baraka da prince. Bibi baadaye alirejea kijijini kwao Tanzania alikomzaa baba yake baraka da prince Andrew Obiero. Baadaye bibi alirejea Kisumu, Kenya huku akimwacha baba yake baraka de prince Andrew Obiero. Tanzania alikokulia na ndipo aliko zaliwa baraka da prince tarehe 13/2/1994 mkoani  Mwanza, Tanzania,

kipaji chake muziki kilianza kuonekana akiwa na umri wa miaka kumi 2004 alianza kama msanii wa injili lakini baadaye alibadilisha na kuanza kufanya Bongo Flava 2007 ilivofika 
mwaka 2013 baraka da prince alipata nafasi ya kusaini lebo ya Tetemesha Entertainment.
ndipo akatoa wimbo JICHUNGE uliomtamburisha na kumuweka kwenye ramani ya muziki wa Bongo.
2014 baraka alipata nafisi ya kutumbuiza jukwaa moja na wasanii wa kimataifa T.I kutoka U.S.A Davido,Waje kutoka Nigeria na Victoria kimani wa Kenya
mwaka 2015 alipata tuzo ya mwanamuziki chipukizi bora wa mwakatuzo za KILI music awards

0 comments:

Post a Comment